
Mlima Kilimajaro
USUPERSTAR MZIGO WA MWIBA UKIUBEBA UTAUMIA
David Beckham was a superstar in Europe but when he moved to America a waiter demanded to see his ID and refused him a glass of wine, according to a book due out in July.
LIVERPOOL IMEPATA KIPIGO CHA MBWA MWIZI UWANJA WA NYUMBANI,KIPIGO HICHO CHA BAO 3 KWA 1,KILIHITIMISHWA NA IVANACOV ALIYEFUNGA BAO 2 NA DROGBA ALIYEGONGELEA MSUMARI WA MWISHO HUKU GOLI LA UCHOKOZI LA LIVERPOOL LILIFUNGWA DAKIKA YA 6 NA TORRES WAKATI HUO HUO BARCA WALITOA DOZI YA RUNGU 4 KWA BUYERN MUNICH NA KUFANYA BUYERN WASAHAU KUHUSU NUSU FAINALI.MATOKEO YA JANA MAN YU 2 NA PORTO 2, VILLA REAL 1 NA ASERNAL 1.
Kwanza nachukua nafasi hii kuwapongeza Waandaaji na Walioshinda TUNZO ZA KILI MUSIC AWARDS.Pili nakubali kabisa kuna mapungufu mengi katika Tunzo hizi lakini cha msingi nawashauri Waandaaji wajitahidi kupunguza mapungufu na naamini ipo siku kila kitu kitakuwa sawa sawia.
Hasheem amechaguliwa kuwa finalist wa Mens College Player of the Year awards.Kwa wale walioko Marekani wanaweza kupiga kura kwa kutuma sms 51234 ukiwa na ujumbe VOTE.Asilimia 25% za kura zitatokana na kura za washabiki.Ili kumpigia kura bofya hapahttp://www.thehrr.com/HRR_blog/2009/03/four-finalists-named-for-naismith-award.html
Gerrard na Torres wakishangilia ushindi wao wa kishindo,Dah leo ilikuwa siku mbaya kweli kwa sisi Man Yu fans,maana bao 4 si mchezo, hata hivyo haikuwa kwetu tu maana Arsenal naye kakumbuka shuka wakati kumekucha kwa kumchampa blackburn 4,huko Italy Juventus imempiga Bolgna 4, na Spain Real Madrid imemalizia hasira zake za kufungwa na Liverpool kwa kumchapa 5 Atheletic Madrid.Dah mambo ndiyo kama hivyo.Vyoyote itakavyokuwa Man YUU ndiyo champions.
HALI YA HEWA HAITOCHAFULIWA